Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni na Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni wametembelea kituo cha kulea wazee wasiojiweza kilichopo Nunge katika Wilaya ya Kigamboni.Wakiwa kituoni hapo walizungumza na wazee waliopo katika kituo hicho na kutoa onyo kali kwa wale ambao huuza vitu wanavyopewa kama msaada kituoni hapo.
ba kuulz ukitokea temeke unafikaje au unapanda gar zipi
JibuFutahad kwenye hicho kituo