Mkurugenzi Mkazi wa shirika la World Share la nchini Korea Nara Kim (wanne kutoka kulia) kwenye picha ya pamoja na uongozi wa kituo cha kulelea wazee Nunge walipofika kutoa msaada wa vitu mbalimbali. |
Ijumaa, 29 Septemba 2017
MSAADA KWA WAZEE
BARAZA MAALUMU LA KUPITIA TAARIFA YA UFUNGAJI WA HESABU UNAOISHIA 30 JUNI
Mkutano Maalumu wa Baraza la Madiwani ukiongozwa na Mstahiki Meya Maabad Suleiman Hoja kwa ajili ya kupitisha taarifa ya ufungaji wa Mahesabu kwa mwaka unaoishia 30 Juni 2017
Mkurugenzi Bw. Stephen E. Katemba (aliyesimama) akiwasilisha agenda |
Viongozi wa Halmashauri wakifuatilia agenda mbalimbali kwa umakini |
Waheshimiwa Madiwani wakisikiliza uwasilishaji wa Agenda tayari kwa kuchangia |
Mhe. Sanya Bunaye Diwani wa Kata ya Kimbiji (wakwanza kulia) akichangia mada katika mkutano wa baraza |
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)