Mkurugenzi Bw. Stephen E. Katemba (aliyesimama) akiwasilisha agenda |
Viongozi wa Halmashauri wakifuatilia agenda mbalimbali kwa umakini |
Waheshimiwa Madiwani wakisikiliza uwasilishaji wa Agenda tayari kwa kuchangia |
Mhe. Sanya Bunaye Diwani wa Kata ya Kimbiji (wakwanza kulia) akichangia mada katika mkutano wa baraza |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni